Kipalaung cha Shwe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kipalaung ya Shwe ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Myanmar na Uchina inayozungumzwa na Wade'ang. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kipalaung ya Shwe nchini Mynamar imehesabiwa kuwa watu 148,000. Pia kuna wasemaji 2000 nchini Uchina (1995). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kipalaung ya Shwe iko katika kundi la Kipalaungiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipalaung cha Shwe kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.