Kipalaung cha Rumai

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kipalaung ya Rumai ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Myanmar na Uchina inayozungumzwa na Wade'ang. Idadi ya wasemaji wa Kipalaung ya Rumai nchini Mynamar imehesabiwa kuwa watu 137,000. Pia kuna wasemaji 3600 nchini Uchina (2000). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kipalaung ya Rumai iko katika kundi la Kipalaungiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipalaung cha Rumai kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.