Kipaama

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kipaama ni lugha ya Kiaustronesia nchini Vanuatu inayozungumzwa na Wapaama kwenye kisiwa cha Paama. Mwaka wa 1996 idadi ya wasemaji wa Kipaama imehesabiwa kuwa watu 6000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipaama iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipaama kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.