Kiouma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiouma ilikuwa lugha ya Kiaustronesia nchini Papua Guinea Mpya iliyozungumzwa na Waouma. Siku hizi hakuna wasemaji wa Kiouma tena, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiouma iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiouma kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.