Kioroqen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kioroqen ni lugha ya Kitungusi nchini Uchina inayozungumzwa na Waoroqen. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kioroqen imehesabiwa kuwa watu 1200, lakini wengi wao ni wazee na kulikuwa na wazee kumi na wawili tu ambao wangeweza kuzungumza Kioroqen bila shida. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kioroqen iko katika kundi la Kitungusi ya Kaskazini.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kioroqen kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.