Kinyungwe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kinyungwe ni lugha ya Kibantu nchini Msumbiji inayozungumzwa na Wanyungwe. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kinyungwe imehesabiwa kuwa watu 439,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kinyungwe iko katika kundi la N40.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinyungwe kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.