Nenda kwa yaliyomo

Kinyoro (lugha)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kinyoro (pia Runyoro) ni lugha ya Kibantu nchini Uganda inayozungumzwa na Wanyoro. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kinyoro imehesabiwa kuwa watu 667,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kinyoro iko katika kundi la J10.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinyoro (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.