Nenda kwa yaliyomo

Kinyishi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kinyishi (au Kibangni) ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi inayozungumzwa na Wanyishi. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kinyishi imehesabiwa kuwa watu 230,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kinyishi iko katika kundi la Kitani.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinyishi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.