Kinyankore (lugha)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kinyankore ni lugha ya Kibantu nchini Uganda inayozungumzwa na Wanyankore. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kinyankore imehesabiwa kuwa watu 2,330,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kinyankore iko katika kundi la J10.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Noun project 1822.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinyankore (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.