Kinusu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kinusu ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uchina na Myanmar inayozungumzwa na Wanu. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kinusu nchini Uchina imehesabiwa kuwa watu 12,000. Pia kuna wasemaji 670 nchini Myanmar (2011). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kinusu iko katika kundi la Kingwi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinusu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.