Kinomaande

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kinomaande (lugha))

Kinomaande ni lugha ya Kibantu nchini Kamerun inayozungumzwa na Wanomaande. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kinomaande imehesabiwa kuwa watu 6000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kinomaande iko katika kundi la A40.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinomaande kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.