Kinkoya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kinkoya ni lugha ya Kibantu nchini Zambia inayozungumzwa na Wankoya. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kinkoya imehesabiwa kuwa watu 146,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kinkoya iko katika kundi la L50.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinkoya kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.