Kinisu cha Kaskazini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kinisu ya Kaskazini ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uchina inayozungumzwa na Wayi. Idadi ya wasemaji wa Kinisu ya Kaskazini imehesabiwa kuwa watu 160,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kinisu ya Kaskazini iko katika kundi la Kingwi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinisu cha Kaskazini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.