Kinikobari-Kusini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kinicobar ya Kusini ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Uhindi inayozungumzwa na Wanicobar. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kinicobar ya Kusini imehesabiwa kuwa watu 7500. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kinicobar ya Kusini iko katika kundi la Kimon-Khmer.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinikobari-Kusini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.