Kingbee
Mandhari
(Elekezwa kutoka Kingbee (lugha))
Kingbee ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo iliyozungumzwa na Wangbee. Hakuna wasemaji wa Kingbee tena kwa hiyo lugha hiyo imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kingbee iko katika kundi la D30.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kingbee kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kingbee Ilihifadhiwa 5 Februari 2017 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kingbee katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/jgb
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kingbee kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |