Kingala (Papua)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kingala ni lugha ya Kisepik nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wangala. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kingala imehesabiwa kuwa watu 180. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kingala iko katika kundi la Kindu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Noun project 1822.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kingala (Papua) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.