Kineve'ei
Mandhari
Kineve'ei (pia Kivinmavis) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Vanuatu inayozungumzwa na Waneve'ei kwenye kisiwa cha Malekula. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kineve'ei imehesabiwa kuwa watu 500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kineve'ei iko katika kundi la Kioseaniki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kineve'ei kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kineve'ei Ilihifadhiwa 3 Machi 2016 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kineve'ei katika Glottolog
- lugha ya Kineve'ei kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kineve'ei kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |