Kineku
Mandhari
Kineku ni lugha ya Kiaustronesia nchini Kaledonia Mpya inayozungumzwa na Waneku. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kineku imehesabiwa kuwa watu 130, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kineku iko katika kundi la Kioseaniki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kineku kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kineku Archived 4 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kineku katika Glottolog
- lugha ya Kineku kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kineku kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |