Kinathembo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kinathembo ni lugha ya Kibantu nchini Msumbiji inayozungumzwa na Wanathembo. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kinathembo imehesabiwa kuwa watu 25,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kinathembo iko katika kundi la P30.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinathembo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.