Kinamia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kinamia ni lugha ya Kisepik nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wanamia. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kinamia imehesabiwa kuwa watu 6000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinamia iko katika kundi la “Yellow River”.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinamia kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.