Nenda kwa yaliyomo

Kinaluo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kinaluo ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uchina inayozungumzwa na Wayi. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kinaluo imehesabiwa kuwa watu 15,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kinaluo iko katika kundi la Kingwi.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinaluo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.