Kimyene

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kimyene (lugha))

Kimyene ni lugha ya Kibantu nchini Gabon inayozungumzwa na Wamyene. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kimyene imehesabiwa kuwa watu 46,700. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimyene iko katika kundi la B10.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimyene kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.