Kimwotlap

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimwotlap (au Kimotlav) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Vanuatu inayozungumzwa na Wamwotlap kwenye kisiwa cha Mota Lava. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kimwotlap imehesabiwa kuwa watu 1800. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimwotlap iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimwotlap kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.