Kimuya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimuya ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uchina inayozungumzwa na Wamuya. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kimuya imehesabiwa kuwa watu 10,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimuya iko katika kundi la Kiqiangiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimuya kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.