Kimuthuvan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimuthuvan ni lugha ya Kidravidi nchini Uhindi inayozungumzwa na Wamuthuvan. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kimuthuvan imehesabiwa kuwa watu 16,800. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimuthuvan iko katika kundi la Kitamil-Kimalayalam.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimuthuvan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.