Kimuduga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimuduga ni lugha ya Kidravidi nchini Uhindi inayozungumzwa na Wamuduga. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kimuduga imehesabiwa kuwa watu 3370. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimuduga iko katika kundi la Kidravidi ya Kusini.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimuduga kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.