Kimokpwe
Mandhari
(Elekezwa kutoka Kimokpwe (lugha))
Kimokpwe ni lugha ya Kibantu nchini Kamerun inayozungumzwa na Wamokpwe. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kimokpwe imehesabiwa kuwa watu 32,200. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimokpwe iko katika kundi la A20.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kimokpwe kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimokpwe Ilihifadhiwa 30 Septemba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kimokpwe katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/bri
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimokpwe kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |