Kimochi (lugha)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimochi ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wachagga, yaani ni lugha moja katika mnyororo wa lugha za Kichagga. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kimochi imehesabiwa kuwa watu 597,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimochi iko katika kundi la E60.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimochi (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.