Kimili

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimili ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uchina inayozungumzwa na Wayi. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kimili imehesabiwa kuwa watu 23,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimili iko katika kundi la Kilolo.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimili kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.