Kimiao cha Xiangxi ya Mashariki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kixiangxi ya Mashariki ni lugha ya Kihmong-Mien nchini Uchina inayozungumzwa na Wamiao. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kixiangxi ya Mashariki imehesabiwa kuwa watu 80,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kixiangxi ya Mashariki iko katika kundi la Kihmongiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimiao cha Xiangxi ya Mashariki kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.