Kimiao cha Luopohe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimiao ya Luopohe ni lugha ya Kihmong-Mien nchini Uchina inayozungumzwa na Wamiao. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kimiao ya Luopohe imehesabiwa kuwa watu 61,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimiao ya Luopohe iko katika kundi la Kihmongiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimiao cha Luopohe kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.