Kimbunda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kimbunda (lugha))

Kimbunda ni lugha ya Kibantu nchini Angola na Zambia inayozungumzwa na Wambunda. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kimbunda nchini Angola imehesabiwa kuwa watu 135,000, na nchini Zambia kuna wasemaji 156,000 (2006). Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimbunda iko katika kundi la K20.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimbunda kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.