Kimbowe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimbowe ni lugha ya Kibantu nchini Zambia inayozungumzwa na Wambowe. Isichanganywe na Kimbugwe cha Tanzania ambacho pia huitwa Kimbowe. Mwaka wa 1969 idadi ya wasemaji wa Kimbowe imehesabiwa kuwa watu 2690. Kufuatana na uainishaji wa [[[lugha]] za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimbowe iko katika kundi la K40.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimbowe kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.