Kibarbaram

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kimbabaram)

Kibarbaram (au Kimbabaram) ilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wabarbaram katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kibarbaram ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibarbaram kiko katika kundi la Kipama cha Kusini.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibarbaram kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.