Kimayi-Yapi
Mandhari
Kimayi-Yapi kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wamayi-Yapi katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kimayi-Yapi, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimayi-Yapi kiko katika kundi la Kimayabiki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kimayi-Yapi kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimayi-Yapi Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kimayi-Yapi katika Glottolog
- lugha ya Kimayi-Yapi katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimayi-Yapi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |