Kimayeka
Mandhari
(Elekezwa kutoka Kimayeka (lugha))
Kimayeka ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wamayeka. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kimayeka imehesabiwa kuwa watu 21,000. Kimayeka hakijaainishwa kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kimayeka kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimayeka Ilihifadhiwa 5 Februari 2017 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kimayeka katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/myc
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimayeka kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |