Kimari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimari ni lugha ya Kiaustronesia nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wamari. Isichanganywe na lugha ya Kimari nchini palepale ambayo ni lugha ya Kisepik. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kimari imehesabiwa kuwa watu 810. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimari iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimari kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.