Kimarghi-Kusini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kimarghi ya Kusini)

Kimarghi ya Kusini ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria inayozungumzwa na Wamarghi. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kimarghi ya Kusini imehesabiwa kuwa watu 166,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimarghi ya Kusini iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimarghi-Kusini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.