Kimarenje

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimarenje ni lugha ya Kibantu nchini Msumbiji inayozungumzwa na Wamarenje. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kimarenje imehesabiwa kuwa watu 90,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimarenje iko katika kundi la P30.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimarenje kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.