Kimaore
Mandhari
Kimaore (au Shimaore) ni lugha ya Kibantu nchini Mayote inayozungumzwa na Wakomori. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kimaore kisiwani kwa Mayotte imehesabiwa kuwa watu 92,800. Pia kuna wasemaji 3000 nchini Madagaska na 1500 kisiwani kwa Reunion. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimaore iko katika kundi la G40, yaani iko karibu na Kiswahili.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kimaore kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimaore Archived 5 Februari 2017 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kimaore katika Glottolog
- lugha ya Kimaore kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimaore kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |