Kimanyawa
Mandhari
Kimanyawa ni lugha ya Kibantu nchini Msumbiji inayozungumzwa na Wamanyawa. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kimanyawa imehesabiwa kuwa watu 173,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimanyawa iko katika kundi la P30.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kimanyawa kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimanyawa Ilihifadhiwa 23 Septemba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kimanyawa katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/mny
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimanyawa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |