Kimanna-Dora

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimanna-Dora ilikuwa lugha ya Kidravidi nchini Uhindi iliyozungumzwa na Wamanna-Dora. Siku hizi hakuna wasemaji wa Kimanna-Dora tena kwa vile Wamanna-Dora wote wameacha lugha yao na kutumia Kitelugu badala yake. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimanna-Dora iko katika kundi la Kitelugu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimanna-Dora kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.