Kimanda (Tanzania)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimanda ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wamanda. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kimanda imehesabiwa kuwa watu 22,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimanda iko katika kundi la N10.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimanda (Tanzania) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.