Kiman-Met
Mandhari
Kiman-Met ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Uchina inayozungumzwa na Waman-Met. Mwaka wa 1990 idadi ya wasemaji wa Kiman-Met imehesabiwa kuwa watu 900. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiman-Met iko katika kundi la Kipalaungiki. Wengine huiangalia kuwa sawa na lugha ya Kikemiehua.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiman-Met kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiman-Met Ilihifadhiwa 8 Februari 2017 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kiman-Met katika Glottolog
- lugha ya Kiman-Met kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiman-Met kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |