Kimale (Ethiopia)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimale (au Kimaale) ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Ethiopia inayozungumzwa na Wamale. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kimale imehesabiwa kuwa watu 94,746. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimale iko katika kundi la Kiomotiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimale (Ethiopia) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.