Kimalay cha Manado

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kimalay ya Manado)

Kimalay ya Manado ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamalay kwenye kisiwa cha Sulawesi. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kimalay ya Manado imehesabiwa kuwa watu 850,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimalay ya Manado iko katika kundi la Kimalayiki. Wengine huiangalia kama krioli.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimalay cha Manado kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.