Kimalay cha Larantuka

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kimalay ya Larantuka)

Kimalay ya Larantuka ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamalay kwenye kisiwa cha Flores. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kimalay ya Larantuka imehesabiwa kuwa watu 20,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimalay ya Larantuka iko katika kundi la Kimalayiki. Wengine huiangalia kama krioli.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimalay cha Larantuka kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.