Kimalagasy ya Tandroy-Mahafaly

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Kimalagasy ya Tandroy-Mahafaly ni lugha ya Kiaustronesia nchini Madagaska inayozungumzwa na Wamalagasy. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kimalagasy ya Tandroy-Mahafaly imehesabiwa kuwa watu 1,300,000, yaani Watandroy 865,000, Wahafaly 330,000 na Wakarimbola 103,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimalagasy ya Tandroy-Mahafaly iko katika kundi la Kibarito.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimalagasy ya Tandroy-Mahafaly kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.