Kimalagasy cha Masikoro
Mandhari
(Elekezwa kutoka Kimalagasy ya Masikoro)
Kimalagasy ya Masikoro ni lugha ya Kiaustronesia nchini Madagaska inayozungumzwa na Wamalagasy. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kimalagasy ya Masikoro imehesabiwa kuwa watu 550,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimalagasy ya Masikoro iko katika kundi la Kibarito.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kimalagasy ya Masikoro kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimalagasy ya Masikoro Archived 5 Februari 2017 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kimalagasy ya Masikoro katika Glottolog
- lugha ya Kimalagasy ya Masikoro kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimalagasy cha Masikoro kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |