Nenda kwa yaliyomo

Kimajhwar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimajhwar ni lugha nchini Uhindi inayozungumzwa na Wamajhwar. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kimajhwar imehesabiwa kuwa watu 34,300. Uainishaji wa lugha wa Kimajhwar haujajulikana.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimajhwar kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.